Aziz Ki afunguka 'bado mapema'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2022
Aziz Ki afunguka 'bado mapema'

Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki amesema hayakuwa matokeo waliyotarajia kwa kupoteza mchezo dhidi ya Vipers Fc kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi

Aziz Ki ambaye ilikuwa mara yake ya kwanza kuitumikia Yanga mbele ya mashabiki, amesema ni furaha kwake kupata nafasi hiyo

"Ni mchezo wangu wa kwanza, nimejitahidi kufanya kilicho bora, lakini bado ni mapema. Bado sifahamu vyema mazingira ya ligi ya hapa, muhimu tuna timu nzuri na nafikiri nitafanya kazi zaidi ili kuwapa mashabiki kile wanachotarajia kutoka kwangu," alisema Aziz Ki

Katika mchezo dhidi ya Vipers Fc, Aziz Ki alicheza kwa takribani dakika 45 za kipindi cha pili

Bado ni mapema sana kuzungumzia uwezo wake lakini hakuna shaka ni mchezaji anayekwenda kuongeza ubunifu kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’