Wajumbe wa Baraza la Wadhamini la Yanga na Wabobezi kutoka Matawi mbalimbali ya Young Africans SC 'Think Tank' kwa pamoja wamewapa tuzo za heshima Mwenyekiti Mstaafu Dkt. Mshindo Msolla na Mfadhili/Mdhamini wa Yanga Ghalibu S. Mohamed
Viongozi wengine waliopewa tuzo hizo ni Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said pamoja na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Antony Peter Mavunde kwenye halfa maalum




ADVERTISE HERE