Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mahiri wa Yanga, Khalid Aucho
Aucho maarufu Dk ni nyota wa Kimataifa kutoka kule Uganda
Msimu wake wa kwanza na Yanga umekuwa na mafanikio makubwa akiwa sehemu ya kikosi kilichoshinda mataji yote ya ndani
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY AUCHO...!
ADVERTISE HERE