Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi, August 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, muda wa mchezo huo umebadilishwa
Mtanange huo sasa utapigwa kuanzia saa moja usiku badala ya saa 11 jioni muda uliozoeleka

ADVERTISE HERE