Kesho tunazima TV tunaenda uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2018
Kesho tunazima TV tunaenda uwanjani
Uongozi wa Yanga umepunguza viingilio vya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis kuwapa nafasi mashabiki wengi kuushuhudia mchezo huo uwanjani mubashara.

Kwa Tsh 10,000/- tu mdau unaweza kutazama kandanda ukiwa majukwaa ya VIP A wakati VIP B na C utapata tiketi yako kwa Tsh 7,000/-

Kule upande wa mzunguuko ambako ndiko wengi tuliko, utachangia klabu kiasi cha Tsh 5,000/- tu

Lengo hapa ni kuona mashabiki wengi wanakwenda uwanjani kuipa hamasa timu yao, viingilo isiwe kikwazo.

Sapoti kwa wachezaji uwanjani inahitaji zaidi ili kuwapa hamasa.

Hivyo kwa wale ambao tuko Dar na maeneo ya jirani tutazima TV zetu kwenda kuwashuhudia mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wakishusha kipigo cha mbwa mwizi kwa mabingwa wenzao wa Shelisheli St Louis.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’