Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa shukrani kwa aliyekuwa Afisa Habari na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndugu Hassan Bumbuli kwa utumishi wake ndani ya klabu ya Yanga katika kipindi cha miaka mitatu
Ndugu Bumbuli amemaliza mkataba wake wa kuitumikia klabu ya Yanga hivyo uongozi unamshukuru sana kwa kazi yake nzuri na kumtakia kila la kheri na mafanikio katika maisha na kazi zake nje ya klabu ya Yanga
Imetolewa na
Idara ya Habari na Mawasiliano
12/08/2022

ADVERTISE HERE