Asanteni Wananchi - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2022
Asanteni Wananchi - Bumbuli

Kwa dhati ya moyo Wangu NAWASHUKURU sana Wana Yanga

Hakika naweza kusema kwamba ni ninyi ndio mnafanya ukubwa huu Klabu ya Yanga.

Inaweza kuhuzunisha kwamba leo nawaaga, naondoka uongozini, lakini nina furaha na shauku kwa changamoto mpya mbele yangu, na pia nina shauku kuona mpya yaliyoandaliwa kwa ajili yenu na kwa Klabu yangu pendwa.

Ni zawadi nzuri sana niliyopokea na kuifurahia kufanya kazi Yanga, kuwahudumia Wananchi.

Ahsanteni kwa kunionyesha wema na hekima, hakika mlifanya Yanga kuwa mahali nilipofurahia sana kutumia muda wangu za kazi na zaidi.

Kwenu WanaYanga, sina la kusema, hii ni kwa sababu sipati maneno ya kuelezea jinsi ninavyowashukuru!

Ninyi ni watu Maalum sana. Nimekuja tukiwa watupu vyote pesa na mataji, naondoka huku vikapu vikiwa vimesheheni na rekodi iliyowekwa kwa kishindo.

Ahsanteni kwa kunipa nafasi ya kuwatumikia

Hassan Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’