Mashabiki mapemaa dimba la Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2022
Mashabiki mapemaa dimba la Mkapa

Homa ya pambano la Ngao ya Jamii inazidi kupanda, mashabiki mapemaa wameanza kumiminika kunako uwanja wa Benjamin Mkapa

Licha ya mchezo kupigwa kuanzia saa moja usiku, mashabiki wenye 'wazimu' wa soka tayari wako nje ya uwanja wa Mkapa wakisubiri mageti kufunguliwa waweze kuingia uwanjani

Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amewahamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi dimba la Mkapa ili kuipa sapoti timu yao

Simon amesema yeye atawahi uwanjani hapo ili kupata mawasaa wa kuzungumza na Wananchi wenzake kabla ya mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
57m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’