Rafu aliyocheza beki wa Simba hennock Inonga dhidi ya kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' ilistahili kadi nyekundu ya moja kwa moja
Hapa utaelewa kwa nini mashabiki wa Yanga hawakuwa na imani pale TFF ilipomtangaza Elly Sasii kuwa mwamuzi wa mchezo wa Ngao ya Jamii uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 2-1
Msimu uliopita tuliona wachezaji wakiadhibiwa baada ya mchezo pale wanapofanya makosa ambayo yako nje ya kanuni hata kama mwamuzi hakuchukua hatua
Inonga anapaswa kuadhibiwa, kwani alistahili kadi nyekundu ambayo inapaswa kumuweka nje mechi tatu
Tutakumbushana wakitoa adhabu! Mimi niko hapahapa Mwana Jangwani nimekaa..!
ADVERTISE HERE