Wananchi wanaelekea mkoani Arusha ambapo kesho Jumanne, watacheza mechi ya kwanza ya ligi kuu msimu huu dhidi ya Polisi Tanzania
Mtanange utapigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa kumi kamili jioni

Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23 inaanza leo Jumatatu August 15 ambapo mechi mbili zitapigwa
Ihefu Fc watacheza na Ruvu Shooting katika mchezo utakaopigwa saa kumi jioni na baadae Namungo Fc kuchuana na Mtibwa ugar dimba la Mkapa, saa moja usiku
ADVERTISE HERE