Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania
Mchezo huo wa kwanza msimu huu, utapigwa kesho Jumanne, kuanzia saa 10 jioni katika uwanja huo




ADVERTISE HERE