Wananchi wako mkoani Arusha ambapo majira ya saa kumi jioni watashuka uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa kwanza ligi kuu ya NBC msimu huu
Mkufunzi wa Yanga Nasreddine Nabi amechagua kuanza na kikosi hiki;
ADVERTISE HERE