Jana mapema kabla ya mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ambao ulipigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Yanga wakishirikiana na GSM Foundation, walitembelea kituo cha Watoto waliokuwa wakiishi katika mazingira hatarishi mitaani (Amani Center for street Children) Arusha mjini na kutoa misaada mbalimbali
Huu umekuwa sehemu ya utamaduni wa Yanga kurejesha kwa jamii na kufanya kile kilicho bora





ADVERTISE HERE