Kituo kinachofauta ni Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Aug 2022
Kituo kinachofauta ni Coastal Union

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania hapo jana, kikosi cha Yanga kinaendelea kubaki mkoani Arusha kusubiri mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, August 20 katika uwanja huohuo wa Sheikh Amri Abeid

Coastal Union wamechagua kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya uwanja wa Mkwakwani kufungiwa ukiwa haujakidhi vigezo kuweza kutumikakwenye ligi

Leo Coastal Union wanacheza na KMC katika uwanja huo wa Sheikh Amri Abeid

Mchezo wa Jumamosi utakumbushia mchezo wa fainali kombe la FA msimu uliopita ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 3-3 na Yanga kutwaa ubingwa kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-1

Bila shaka Mkufunzi wa Yanga Nasreddine Nabi atafanyia kazi changamoto zilizojitokeza kwenye safu ya ulinzi katika mchezo huo ambao Coastal Union waliweza kufunga mabao matatu kupitia kwa Abdul Sopu ambaye hata hivyo amejiunga na Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’