Wanahesabu takwimu za Morrison?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Aug 2022
Wanahesabu takwimu za Morrison?

Jana winga Bernard Morrison alitoa 'assist' yake ya kwanza ligi kuu ya NBC akimtengenezea nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto kufunga bao la ushindi la Yanga kwenye dakika ya 85 katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1

Morrison angeweza kuondoka na bao pia kama shuti lake lililogonga mwamba wa juu na kuvuka mstari lingekubaliwa

Wakati Yanga ilipomrejesha Morrison kutoka Simba wapo walioponda usajili huo wakidai hakuwa na takwimu nzuri katika misimu miwili aliyoitumikia Simba

Lakini wakisahau takwimu nzuri alizoondoka nazo Yanga alipokwenda kujiunga na Simba

Morrison karudi jikoni ambako chakula kinapikwa, muhimu wahesabu tu takwimu zake, tayari ana assist moja!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
49m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’