Aliyekuwa mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili amejiunga na klabu a Rayon Sports ya Rwanda
Kabwili ametua Rayon kwa mkataba wa mwaka mmoja
Amejiunga na timu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Mlinda lango aliyepata mafanikio katika umri mdogo, naamini hii itakuwa nafasi nyingine kwake kurejesha heshima yake
ADVERTISE HERE