Uongozi wa Klabu ya Yanga leo unatarajia kuingia mkataba na Kampuni ya Jackson Group kama mshirika mwenza
Kampuni hiyo itakuwa na jukumu la kuiendesha na Kuisimamia Yanga Sc kwenye masuala ya masoko ya kidijitali na branding
Kampuni ya Jackson Group inayoongozwa na Kelvin Twissa inajihusisha na ushauri wa masoko, branding na ukuzaji wa biashara
ADVERTISE HERE