Mashabiki wa Tawi la Yanga Fahari Yetu wamepata ajali Msata wakiwa safarini kuelekea mkoani Arusha kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union
Tunawapa pole na Mwenyezi Mungu awape nguvu wote walionusurika katika ajali hii mbaya
Kwa Wananchi ambao mko karibu eneo ambalo ajali imetokea (Mwetema) mnaombwa kutoa msaada kwa wenzetu hawa
Taarifa za awali zimebainisha kuwa shabiki mmoja amepoteza maisha



ADVERTISE HERE