Wachezaji Yanga wapewa siku mbili za mapumziko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2022
Wachezaji Yanga wapewa siku mbili za mapumziko

Wananchi wamerejea jijini Dar es salaam kutoka Arusha, huku Kocha Mkuu Nasreddine Nabi akiwapa nyota wake mapumziko ya siku mbili, kabla ya kurejea kambini kujifua upya kwa mechi zijazo 

Ligi Kuu imesimama kupisha kalenda ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya CHAN, Nabi amesema anataka kutumia mapumziko hayo kujiweka fiti kabla ya kuvaana na Azam na baadae Zalan FC ya Sudan Kusini mechi za CAF

"Tulikuwa na siku chache za maandalizi hivyo nahitaji kutumia wiki mbili zilizopo kubaki na wachezaji wangu ambao hawajaitwa timu ya taifa ili kujenga muunganiko mzuri"

"Nina wachezaji wengi wazuri na bora, ila bado hawana muunganiko mzuri licha ya kupata matokeo mazuri katika mechi mbili za awali za ligi," alisema Nabi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’