Saido kuibukia Geita Gold

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2022
Saido kuibukia Geita Gold

Katibu Mkuu wa Geita Gold Simon Shija amethibitisha klabu hiyo kufanikiwa kuinasa saini ya nyota wa zamani wa Yanga, Saido Ntibazonkiza. Ntibazonkiza amejiunga na Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili

"Katika kuboresha kikosi kuelekea mashindano ya kimataifa mwalimu alikua anahitaji mchezaji mwenye uzoefu ambae anaweza akakaa kwenye vyumba na akawaambia wachezaji na kuwapa experience ya mashindano ya kimataifa"

"Moja ya jina alilopendekeza mwalimu ni Saido Ntibazonkiza na tumefanikiwa kumtimizia kile alichokihitaji. Kama mnavyofahamu Geita Gold ina wachezaji wengi vijana ambao watahitaji sana mchango wa mawazo kutoka kwa Saido Ntibazonkiza. Ninachotaka niueleze umma ni mpaka sasa Saido ameshakua mchimba dhabibu wa Geita," alisema

Saido aliitumikia Yanga kwa mwaka mmoja na nusu, akiwa mchezaji muhimu katika kufanikisha mafanikio waliyopata Yanga kwa kushinda mataji yote msimu uliopita

Kila la kheri 'Antibiotic'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’