Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) itakapoikaribisha Uganda Cranes
Baada kuwaondosha Somalia kwenye raundi ya kwanza, Tanzania ina dakika nyingine 180 kuwania tiketi ya kushiriki fainali za michuano hiyo ambayo itafanyika Algeria mwaka 2023
Dakika 90 za kwanza zinapigwa leo, Tanzania ikihitaji kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE