Jana Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya KMC katika uwanja wa Avic Town, Kigamboni
Matokeo ya mchezo huo Yanga ikaibuka na ushindi wa mabao 2-1 mabao yakifungwa na Bernard Morrison akimaliza kazi nzuri iliyofanywa na Djuma Shabani
Bao la pili lilifungwa na Gael Bigirimana aliyepokea pasi kutoka kwa Morrison







ADVERTISE HERE