Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema usajili wa winga Tuisila Kisinda ni Wanachama, Wapenzi na Mashabiki kwa kuendelea kuipa support na thaman timu yao
Simon amesema Yanga imekamilisha usajili wake wote kwa mashindano ya ndani na ligi ya mabingwa Afrika ambapo Septemba 10 wataanza na Zalan Fc mchezo ukipigwa uwanja wa Azam Complex
ADVERTISE HERE