Hao mawinga Yanga ni hatari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2022
Hao mawinga Yanga ni hatari

Baada ya usajili wa winga Tuisila Kisinda, Yanga sasa ina utajiri mkubwa wa mawinga

Lilikuwa hitaji la kocha Nasreddine Nabi kuwa na machaguo tofauti ya washambuliaji wa pembeni kwenye kikosi chake

Bernard Morrison, Kisinda, Jesus Moloko, Dickson Ambundo na Denis Nkane wote ni mawinga wenye kasi

Hii ni habari mbaya sana kwa timu zinazoshiriki ligi kuu kwani, zitahitaji kujipanga kwelikweli kuwazuia viberenge hawa ambao kazi yao kubwa ni kuwatengenezea kina Fiston Mayele nafasi za kufunga

Yanga kwa sasa imekamilika katika kila eneo, ikiwa na wachezaji ambao uwiano wa viwango vyao havitofautiani sana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
57m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’