Mshambuliaji kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga Fiston Mayele ataendelea kubaki Jangwani kwa miaka mingine miwili
Mayele amesaini mkataba ambao utamuweka na Wananchi hadi mwaka 2024
Baada ya tetesi nyingi zilizomuhusisha kuhitajika na timu mbalimbali katika nchi za Afrika Kusini, Misri, Morocco na Sudan, Mayele ataendelea kuwa mikononi mwa Wananchi kwa misimu mingine miwili
Yaani tabu iko pale pale...!
ADVERTISE HERE