Yanga Princess ilikamilisha usajili wake kwa wakati kabla ya dirisha la usajili kufungwa usiku wa August 31 2022
Utambulisho wa wachezaji ulianza siku ya jana ambapo nyota wawili kutoka Nigeria walitambulishwa
Blessing Augustine ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Nigeria ametua kwa Wananchi sambamba na Wogu Chioma Success
Ilikuwa ahadi ya Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji kuwa kama Yanga Princess itakosa ubingwa msimu ujao, aulizwe yeye

ADVERTISE HERE