Uongozi wa klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Injinia Hersi Said, umepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha aliyekuwa daktari wa timu ya Simba Dk Yassin Gembe ambacho kilitokea leo mchana kwenye Hospitali ya Muhimbili
Yanga imetoa pole kwa Wanasimba wote, familia ya Dk Gembe pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA

ADVERTISE HERE