Yanga Princess imeendelea kutambulisha nyota wapya waliosajiliwa ambapo leo wametambulisha usajili wa mwanadada Maimuna Khamis
Msimu uliopita Maimuna aliitumikia Simba Queens. Jana Yanga Princess waliwatumbulisha nyota wawili Saiki Mary Atinuke na Nadege Antahloueto
Msimu huu Yanga Princess inakwenda kushindana...!
ADVERTISE HERE