Jumanne Septemba 06 Yanga inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, raundi ya tatu
Baada ya mapumziko ya mechi za Kimataifa, Wanachi wamepania kuendeleza moto wao wa ushindi kwenye ligi
Hautakuwa mchezo mwepesi kutokana na ubora wa vikosi vyote lakini vijana wa Nasreddine Nabi wana kila sababu ya kushinda mchezo huo
Utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza dimba la Benjamin Mkapa katika ligi kuu msimu huu
ADVERTISE HERE