Mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja usiku
Mauzo ya tiketi yalianza tangu jana, mashabiki wa Yanga wakiaswa kununua tiketi kwa wingi ili kuiunga mkono timu yao katika mchezo huo wa kwanza kwenye ligi ambao Yanga inacheza kwenye uwanja wa nyumbani
Tiketi zinapatikana kupitia vituo hivi;


ADVERTISE HERE