Kamati ya Sheria itaamua hatma ya Kisinda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2022
Kamati ya Sheria itaamua hatma ya Kisinda

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema walikamilisha usajili wa winga Tuisila Kisinda kabla ya dirisha la usajili kufungwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liliwasaidia kupata ITC ya mchezaji huyo ndani ya muda

Patrick amebainisha kuwa baada ya kukamilisha usajili wa Kisinda waliiandikia barua Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuomba kumuondoa Lazarus Kambole katika orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga kwa ajili ya michuano ya ndani na nafasi yake kuchukuliwa na Kisinda

Yanga ilichukua uamuzi huo baada ya taarifa za kitabibu kubaini kuwa Kambole amepata majeraha ambayo yanaweza kumuweka nje kwa muda mrefu

Patrick amesema Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inayo mamlaka ya kufuta leseni ya muda iliyotolewa kwa Kambole ili kumpatia leseni Kisinda hivyo wanasubiri maamuzi ya Kamati hiyo ambayo ilitarajiwa kukutana leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’