Msuva apiga 'hat-trik' ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Feb 2018
Msuva apiga 'hat-trik' ligi ya mabingwa
Difaa Al Jadida anayocheza winga wa zamani wa Yanga Simon Msuva jana ilikuwa nyumbani Morocco kuchuana na Benfica Bissau ya Guinea Bissau.

Al Jadida iliibuka na ushindi wa mabao 10-0 dhidi ya vibonde Benfica huku Msuva akifunga mabao matatu 'hat-trik'

Mshambuliaji huyo wa Kimataifa kutoka Tanzania pia alitengeneza mabao manne huku Ahaddah Hamed akifunga mabao matano!

Hongera Simon Msuva, tunakuombea ufanikiwe zaidi na hatimaye utimize ndoto zako!
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’