Yanga kuanza kuiwinda Majimaji leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2018
Yanga kuanza kuiwinda Majimaji leo
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya St Louis kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa juzi, kikosi cha Yanga kitaendelea na mazoezi leo kujiandaa na mchezo wa ligi unaofuata dhidi ya Majimaji.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumatano, February 14.

Wiki moja baadae February 21 Yanga itaifuata St Louis huko Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano.

Wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya St Louis juzi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’