Morrison, Sureboy kuwakosa Zalan Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2022
Morrison, Sureboy kuwakosa Zalan Fc

Winga hatari wa Yanga Bernard Morrison ataukosa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zalan Fc baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu ya dhidi ya Azam Fc

Aidha Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kuwa kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' naye hatakuwa sehemu ya mchezo huo baada ya kutonesha majeraha katika mchezo dhidi ya Azam Fc

Kaze amebainisha kuwa beki wa kati Dickson Job amefanya mazoezi na wenzake licha ya kuumia kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc

Mshambuliaji Lazarus Kambole nae ameimarika, benchi la ufundi litajiridhisha na utimamu wake kuona kama leo anaweza kutumika

Majira ya saa kumi jioni, Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Zalan Fc katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali, michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Zalan Fc watakuwa wenyeji wa mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’