Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng. Hersi Ally Said ilipata fursa ya kuhudhuria semina ya Uongozi na Utawala Bora.
Semina hiyo mahususi iliendeshwa na Mwanasheria mbobezi Ndg. Alex Mgongolwa ilikuwa na lengo la kuongeza ufanisi katika masuala ya kiutawala





ADVERTISE HERE