Ni zamu ya Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2022
Ni zamu ya Mtibwa Sugar

Juzi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zalan Fc, Yanga ilitengeneza takwimu za kutisha wakimiliki mpira kwa asilimia 85

Mashuti 14 yalilenga lango na mashuti 18 hayakulenga lango. Fiston Mayele akapiga 'hat-trik' katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi hakufurahishwa na ufanisi wa vijana wake katika lango la wapinzani na kuahidi kufanya maboresho kabla ya mchezo unaofuata

Ni kesho Jumanne, Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC

Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 katika mchezo uliopita kwenye ligi dhidi ya Azam Fc, Yanga imedhamiria kurejea katika utamaduni wake wa ushindi na kuendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo

Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’