Balama uso kwa uso na waajiri wake wa zamani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2022
Balama uso kwa uso na waajiri wake wa zamani

Kiungo Mapinduzi Balama 'Kipenseli' leo anarejea jijini Dar es salaam akiwa na jezi ya Mtibwa Sugar kuwakabili waajiri wake wa zamani Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanza saa moja usiku

Balama alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa misimu mitatu. Msimu wake wa mwisho haukuwa mzuri baada ya kupata majeraha aliyomuweka nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi 12

Baada ya kupona majeraha, akakutana na changamoto ya kupaa nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Yanga ikamruhusu kusaka changamoto katika timu nyingine baada ya mkataba wake kumalizika ndipo Mtibwa Sugar wakainasa saini yake

Katika kikosi cha Mtibwa Sugar, Balama amekuwa mchezaji muhimu akianza katika mechi zote tatu ambazo Mtibwa wamecheza msimu huu

Leo amerejea kuchuana na waajiri wake wa zamani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’