Baada ya kukosekana uwanjani katika mechi mbili zilizopita akiwa majeruhi, Farid Mussa leo amerejea na kasi ya aina yake
Achana na bao bora lililofungwa na Fiston Mayele, mpira ulianzia kwa fundi Farid Mussa
Ni yeye aliyefanyiwa madhambi na kupelekea mpira wa adhabu uliojazwa kimiani na Djuma Shabani
Farid pia alimtengenezea Fei Toto nafasi kadhaa ambazo kama angekuwa makini angeweza kufunga
Farid ameendelea kuwa mahiri kila anaposhuka dimbani kuitumikia Yanga
Halafu unaona timu ya Taifa inatangazwa eti hayumo....!
ADVERTISE HERE