Jumamosi, Septemba 17 Wananchi wanashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Zalan Fc katika mchezo wa mkondo wa pili ligi ya mabingwa barani Afrika
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 2,000/-
Mwananchi nunua tiketi yako mapema

ADVERTISE HERE