Manara aibua shangwe bungeni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2022
Manara aibua shangwe bungeni

Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Haji Manara, ni miongoni mwa wageni walioalikwa leo Septemba 19, 2022 kwa ajili ya kuona shughuli za Bunge, wakati wa kikao cha Tano, Mkutano wa Nane unaoendelea bungeni jijini Dodoma.

Mwezi uliopita, Manara alifungiwa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), kujihusisha na mpira wa miguu kwa muda wa miaka miwili pamoja na faini ya Tsh Milioni 10

Wakati akitambulishwa bungeni, shangwe zilirindima kutoka kwa wabunge baadhi yao wakisikika kuitaka TFF imfungulie

Licha ya changamoto anazokabiliana nazo, Manara ameendelea kuwa kipenzi cha watu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’