Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Mohammed Mchengerwa amemteua nyota wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa 'Taifa Stars' Ally Mayay Tembele kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo nchini
Mayay ameteuliwa Kukaimu nafasi iliyoachwa na Yusuph Singo aliyepangiwa majukumu mengine

ADVERTISE HERE