Uongozi wa klabu ya Yanga umepanga kuja na mkakati kabambe kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2022
Yanga inahitaji kushinda mchezo huo wa raundi ya kwanza ili kutinga hatua ya makundi
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema, wamepokea maoni na ushauri wa Wanayanga kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza ambao utapigwa jijini Dar es salaam Oktoba 7-9 na marudiano kupigwa Sudan wiki moja baadae
ADVERTISE HERE