Masaka aweka rekodi Sweden

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2022
Masaka aweka rekodi Sweden

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania kwa upande wa soka la wanawake, Aisha Masaka jana aliweka rekodi ya kuwa mwanadada wa kwanza nchini kucheza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya

Timu yake ya BK Hacken ilichuana na Matajiri wa Jiji la Paris, PSG katika mchezo wa ligi ya mabingwa ambao PSG waliibuka na ushindi wa mabao 2-1

Masaka alianzia benchi katika mchezo huo ambao unamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania (Soka la Wanawake) kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya

Masaka alijiunga na BK Hacken mapema mwaka huu akitokea klabu ya Yanga Princess akiwa kuwa mchezaji wa kwanza kwa soka la Wanawake kusajiliwa na timu inayoshiriki ligi kuu barani Ulaya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’