Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal yanaendelea vizuri ambapo kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameendelea kuwaandaa vijana wake kwa ajili ya mchezo huo
Simon amesema malengo ya Yanga ni kuona wanamaliza mchezo huo hapa nyumbani akiwataka mashabiki wa Yanga kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 08 ili kuwahamasisha wachezaji wao
ADVERTISE HERE