Mashabiki wa Yanga nchini Burundi jana walikutana jijini Bujumbura kuweka mkakati wa safari kuelekea Tanzania kushuhudia mtanange wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Oktoba 08 uwanja wa Benjamin Mkapa
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza, ni hatua moja kuelekea makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa Yanga ikihitaji ushindi

Wananchi wanasema Iwe Jua, Iwe Mvua lazima kitaeleweka...!
ADVERTISE HERE