Fei Toto arejea kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2022
Fei Toto arejea kikosini Yanga

Klabu ya Yanga imeshusha presha kutokana na urejeo wa kiungo wake tegemeo, Feisal Salum 'Fei Toto' aliyekuwa akisumbuliwa na majeraha ya nyama za paja.

Fei Toto alipata majeraha hayo katika mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 17 ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-0.

Majeraha hayo yalimfanya mchezaji huyo kuenguliwa katika kikosi cha timu ya taifa 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki huko Libya dhidi ya wenyeji kesho Jumanne na mwingine dhidi ya Uganda 'The Cranes' uliochezwa juzi.

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema Fei Toto alijiunga na kikosi jana kwa ajili ya kuendelea na maandalizi ya mechi zinazofuata za timu hiyo dhidi ya Ruvu Shooting na Al Hilal.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’