Iwe Jua, Iwe Mvua, Oktoba 08 hawatoki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2022
Iwe Jua, Iwe Mvua, Oktoba 08 hawatoki

Wanasema Oktoba 08 ni siku ya kutafuta matokeo kwa Yanga ili kuhakikisha Wananchi wanajiweka katika nafasi nzuri ya kutinga makundi

Siku hiyo kila Mwananchi anapaswa kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuwashangilia mashujaa wetu katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal

Hakikisha unakuwepo dimba la Mkapa siku hiyo kwa ajili ya kazi maalum ya kusaka matokeo

Uwanja wa Mkapa haupaswi kuwa rafiki kwa Al Hilal siku hiyo kutokana na kelele za mashabiki

Kama wao wanavyofanya 'funjo zisizoumiza' wanapokuwa kwao, basi Yanga nayo inakwenda kutumia silaha hiyo..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’