Stars kuikabili Libya leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2022
Stars kuikabili Libya leo

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda, timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inashuka tena dimbani huko Libya kumenyana na wenyeji wao timu ya Taifa ya Libya

Ni mchezo wa Kimataifa wa kirafiki ambao utapigwa katika uwanja wa Modern, Benghaz Libya

Mchezo huo uko kwenye kalenda ya FIFA, matokeo mazuri kwa Tanzania yatapandisha nafasi katika viwango vya ubora FIFA

Tanzania na Uganda zilialikwa na Libya katika michuano hiyo maalum ambayo pia inazisaidia timu hizo kwa maandalizi ya mechi zinazofuata

Uganda na Tanzania zitakutana tena mwakani 2023 katika michezo ya kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’