Aziz Ki, Diara kurejea Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2022
Aziz Ki, Diara kurejea Ijumaa

Wachezaji wa kimataifa wa klabu ya Yanga waliokuwa kwenye majukumu ya timu za taifa Djigui Diarra na Stephane Azizi Ki wanatarajia kurejea kesho Ijumaa na kuungana na wenzao kwenye maandalizi ya mwisho ya mechi ya ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting

Diarra alikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Mali wakati Aziz Ki alikuwa akiitumikia timu ya Taifa ya Burkina Faso

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema wachezaji waliokuwa na timu ya Taifa U23 Denis Nkane, David Bryson, Aboutwaleeb Mshery na Clement Mzize wao wanatarajiwa kuripoti kambini siku ya leo wakiungana na wenzao waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya wakubwa Dickson Job na Kibwana ShomariΒ 

Mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utapigwa katika uwanja wa Uhuru, Jumatatu, Oktoba 03 2022

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’