Mawindo ya Ruvu Shooting yanaendelea Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2022
Mawindo ya Ruvu Shooting yanaendelea Avic Town

Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatatu, Oktoba 03 katika uwanja wa Uhuru

Ikiwa sehemu ya program ya maandalizi, jioni ya leo Yanga ilicheza mechi ya ndani ya kirafiki dhidi ya vinara wa Championship Mbuni Fc kutoka Arusha

Wananchi wameibuka na ushindi wa mabao 2-1, Fiston Mayele na Feisal Salum wakifunga mabao ya Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alihitaji michezo kadhaa ya kirafiki kabla ya kuwakabili Ruvu Shooting, Yanga ikicheza mechi mbili huko Avic Town

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’